Posts

Kuachana na Nay Kumenipa Akili ya Kujibidiisha Katika Biashara- Siwema.

Image
MZAZI mwenziye na mwanamuziki Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, Siwema Edson amefunguka kuwa kama asingepitia misukosuko ya kimapenzi na mzazi mwenziye huyo mpaka kuachana basi asingepata akili ya kujibidiisha kibiashara. Siwema mwenye makazi yake jijini Mwanza, alisema baada ya kupata misukosuko alitafakari na kuamua kupiga moyo konde na kusimama kama mwanamke ili afanye kitu ambacho kitamsimamisha na kuendelea na maisha yake. “Unajua ukikumbwa na misukosuko hasa ya kimapenzi akili inatanuka, nilijiongeza haraka na leo hii nina duka langu kubwa la nguo hapa Mwanza na maisha yanaendelea, ningekaa kulilia mapenzi ningechemka,” alisema Siwema 

T-Pain Amepanga Amempeleka Lil Wayne Kortini.

Image
 Kampuni ya muimbaji huyo, Nappy Boy Productions inaishtaki Young Money kwa huduma iliyoifanya kwenye album ya Tha Carter III. Kampuni hiyo imedai kuwa T-Pain alitayarisja wimbo “Got Money,” ambao aliimba pia. Pia mmoja wa wasanii wake, Young Fyre, alitayarisha wimbo “How to Hate” uliomo kwenye album hiyo. Kwa mujibu wa maelezo ya mahakamani, Young Money ilitakiwa kumlipa T-Pain mrabaha toka kwenye mradi huo. Na sasa kampuni inataka ilipwe $500,000. 

Dalili za Mke anayetoka nje ya ndoa

Image
Dalili za Mke anayetoka nje ya ndoa: 1) Anatembea na vidonge vya majira kwenye mkoba wake, wakati mume amefanyiwa Vasectomy (Kufunga kizazi kwa mwanaume) 2) Anakuwa na namba ya siri ya simu ambayo mume haijui 3) Anatumia muda mwingi anapokwenda sokoni au kufanya manunuzi ya wiki 4) Anajinunulia nguo za gharama zikiwemo nguo za ndani bila kumshirikisha mume 5) Anakuwa akitegemea zaidi ushauri kutoka nje kwa watu wengine zaidi ya mumewe 6) Anaacha kuvaa pete ya ndoa bila sababu 7) Anapopigiwa simu akiwa karibu na mumewe anaizima au kwenda kupokelea nje 8) Anakuwa hajali tena mambo ya familia na hujiamulia mambo yake mwenyewe 9) Ni rahisi sana kusema ‘nipe talaka yangu’ inapotokea kutofautiana hata kwa jambo dogo. 10) Dharau na kejeli kwa mume hujionyesha waziwazi Dalili za mume anayetoka nje ya ndoa: 1) Unakuta Condom kwenye mkoba wake au kwenye gari lake wakati umefunga kizazi au unatumia vidonge vya majira. 2) Anapunguza au anaacha kabisa kuwa outing na fa...